Habari za Hivipunde: Ajali mbaya yatokea Wete Pemba asubuhi hii

Gari ya abiri aina ya DYNA yenye namba za usajili Z 330 GX lapinduka huko maeneo ya wete pemba, kwa habari zisizo rasmi mtu mmoja afariki papo hapo.

tutaendelea kukupa taarifa hizi kadri tutakvyo zipokea kutoka eneo la tukio…………………