PICHA:Maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika

Watoto wa Shule ya Santhome ya Mjini Dodoma wakiongoza watoto wenzao kutoka shule mbalimbali za Jiji la Dodoma kuelekea viwanja vya Nyerere Square kushiriki uzinduzi wa maonesho ya Wiki ya Siku ya Mtoto wa Afrika ambayo kilele cha keni tarehe siku 16 juni mwaka huu.

 

Mkurugenziwa Watoto kutokaWizarayaAfya, Maendeleo yaJamii, JinsiaWazee na Watoto pamoja na Mbunge viti maalumu ambaye alikuwa mgeni rasmi wa kati wa uzinduzi wa Maonesho ya Siku ya Mtoto wa Afrika wa kupata maelekezo kutoka Maofisa wa Plan International hawapo pichani mara baada ya kutembelea mabanda ya maonesho hayo.

 

Kiranja Mkuu wa Shule ya Santhome ya Mjini Dodoma Martha Linje akiongoza watoto wenzake kutoka shule mbalimbali za Jiji la Dodoma kuelekea viwanja vya Nyerere Square kushiriki uzinduzi wa maonesho ya Wiki ya Siku ya Mtoto wa Afrika ambayo kilele cha keni tarehe siku 16 juni mwaka huu

 

Baadhi ya watoto kutoka shule za msingi Jijini Dododoma wakiwa na mabango ya kupinga ukatili dhidi ya watoto kuelekea viwanja vya Nyerere Square kushiriki uzinduzi wa maonesho ya Wiki ya Siku ya Mtoto wa Afrika ambayo kilele cha keni tarehe siku 16 juni mwakahuu.