Video: Rais JPM apongezwa na bongo movie kwa filamu fupi

Kundi la Uigizaji wa Filamu ‘Bongo Movie Shinyanga’ limempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa hatua anazozichukua katika kulinda rasilimali za nchi hususani madini ya Tanzania.
Katika kufikisha pongezi hizo, Bongo Movie Shinyanga wameandaa Filamu fupi inaitwa ‘Tanganyika Karne ya 18’ inayoonesha  jinsi nchi za nje zinavyoiba madini ya Tanzania.
Itazamea hapa video hiyo…….