Picha za Jengo bovu Pemba

 

WANANCHI wa Wilaya ya Chakechake Kisiwani Pemba, bado wanaendelea kuziomba taasisi husika ikiwemo wizara ya fedha kulivunja haraka jengo la wizara hiyo lililojengwa na kuporomoka kabla ya kuhamiwa, lililopo eneo la Tibirinzi wilayani humo karibu na uwanja wa mpira wa miguu na hoteli iliomo ndani ya jengo la ZSSF.

(Picha na Haji Nassor, Pemba).