Liverpool kukata rufaa kufungiwa mechi tatu Sadio Mane

Liverpool imesema itakata rufaa kupinga ukubwa wa  adhabu ya kufungiwa mechi tatu iliyomkuta mchezaji wake raia wa Senegal Sadio MAne amabye  alimpiga kiatu  kipa Ederson wa Manchster wakati Liverpool ilipokumbana na kipigo cha mabao 5-0.
Tayari Mane alimuomba msamaha kipa huyo lakini FA imeamua kumfungia mechi tatu ingawa Liverpool inaona si sawa kwa kuwa tayari alipewa adhabu ya kadi nyekundu uwanjani.
Jeraha alilopata kipa Anderson alipokumbana na daluga la Sadio Mane.