Majina ya waliyo itwa katika usaili wizara ya fedha na mipango unguja 07/10/2017

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi katika Wizara ya Fedha na Mipango Unguja kufika katika usaili utakaofanyika kwa utaratibu ufuatao:-

Walioomba nafasi ya kazi kwa kada ya Mtunza Kumbukumbu, Afisa Kodi, Afisa Uchumi, Afisa Sera (Sera/Mipango), Afisa Utafiti (Mipango), Afisa Takwimu, Tehama, Dereva, Tarishi, Ukutubi, Afisa Mitaji ya Umma, Msaidizi Uhakikimali na Afisa Sheria, Msaidizi Muhasibu na Mkaguzi.

Usaili utafanyika siku ya Jumamosi ya tarehe 07 Oktoba, 2017 katika Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar saa 2:00 za asubuhi.

Aidha, wahasibu wote ambao walishiriki katika usaili wa awali (wa maandishi) kwa upande wa Unguja wanaombwa kuhudhuria katika usaili siku ya Jumapili ya tarehe 08 Oktoba, 2017 saa 2:00 za asubuhi.

Tume inasisitiza wasailiwa wote kuchukuwa vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo (Original) Cheti cha kuzaliwa pamoja na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.

VIJANA WENYEWE NI:

MSAIDIZI MUHASIBU DARAJA LA III – UNGUJA
NO JINA KAMILI
1 FATMA SUNGURA MAKAME
2 IBRAHIM SAMIR AYOUB
3 IBRAHIM THABIT KHEIR
4 JUMA ISSA JUMA
5 KHAMIS JUMA BARAKA
6 KHAMIS JUMA SIMAI
7 MOHAMMED KOMBO HASSAN
8 NASSRA MOHAMED ABUU
9 RAMADHAN JUMA KHAMIS
10 RIFAI MAULID ABDALLA
11 RUKIA KHAMIS HAJI
12 SAADAT IMAM MAKAME

AFISA TEHAMA
NO JINA KAMILI
1 ALI NASSOR ALI
2 AMOUR RAMADHAN HAJI
3 IBRAHIM MZEE RAJAB
4 RASHID KHAMIS KOMBO
5 RASHID MWINYIBAKAR ALI
6 SALUM ALI HABIB

AFISA UCHUMI
NO JINA KAMILI
1 ADAM YOHANA WILSON
2 ASHURA ABDI BULUSHI
3 ASMA ALI MUHSIN
4 ASMA MOHAMMED ALI
5 FATMA MUHAJIR ALI
6 HAWA MACHU VUAI
7 JAMILA VUAI AME
8 OTHMAN ABDALLA OTHMAN
9 RAMADHAN KHAMIS HEMED
10 SALEH SAAD MOHAMED

MKAGUZI DARAJA LA II – UNGUJA
NO JINA KAMILI
1 ABDALLA RAJAB HAJI
2 AMINA SEIF KHAMIS
3 MOHD AYOUB JUMA
4 MOHD SIMBA HAMAD
5 MWAJUMA MTANDO MUSSA
6 OMAR MAKAME HAJI
7 RASHID KHAMIS HAMAD
8 SHIKHA MUSSA OMAR

AFISA UTAFITI DARAJA LA II – UNGUJA
NO JINA KAMILI
1 ASHA KONA ALI
2 KAIJE ALI SULEIMAN
3 MAGDALENA JOSEPH ASILIA
4 SALUM MAKAME JUMA
5 SULEIMAN KHALID SEIF

AFISA KODI DARAJA LA II – UNGUJA
NO JINA KAMILI
1 ABDILLAHY MASSOUD KHAMIS
2 AHMED SAID SULEIMAN
3 ALI ABUDU SALUM
4 ISSA BAKAR SAID
5 MOHD ADAM HAMZA
6 MOHD ALLY MOHD
7 OMAR MASOUD SHINDANO
8 RAUHIYA MOHAMMED KHAMIS
9 SAID SULEIMAN SAID
10 SAYYIDMUHTAR ABDALLA IDAROUS

AFISA TAKWIMU DARAJA LA II – UNGUJA
NO JINA KAMILI
1 ABDULLA SULEIMAN YUSSUF
2 FATMA HILALI MOH’D
3 RAMLA HASSAN PANDU
4 RAYA MOHAMMED MAHFOUDH
5 THANIA ALI MOHAMED

NAFASI YA DEREVA
NO JINA KAMILI
1 ABDULL YUSSUF MAALIM
2 ALI MBAROUK RAJAB
3 HAMZA MAHFOUDH HAMZA
4 MOHD KHAMIS SEIF
5 SILIMA KHAMIS MANENO

AFISA MSAIDIZI UKUTUBI DARAJA LA III – UNGUJA
NO JINA KAMILI
1 ABDULKADIR ALI ABDULLA
2 ABDUL-KADIR HAMID ABDULKADIR
3 JAMILA ILIASA KHAMIS
4 NASSOR ALI RAMADHAN
5 SALMA SULTAN ABDULLA

TARISHI DARAJA LA III – UNGUJA
NO JINA KAMILI
1 ABDUL-KADIR SALEH ABDULLA
2 ALI HUSSEIN IDDI
3 HAMDU FAKI MAKAME
4 HASSAN ABUBAKAR MOHD
5 MASIKA KITWANA MUSTAFA

NAFASI YA AFISA SHERIA DARAJA LA I
NO JINA KAMILI
1 FAIDA MAKARANI SARBOKO
2 HIDAYA KHAMIS MZEE
3 MWATUM ALI KHAMIS
4 ROSEMARY NYANDWI NTAHONDI
5 SUMAYYA AWADH HASSAN

AFISA MAHITAJI YA UMMA DARAJA LA II – UNGUJA
NO JINA KAMILI
1 ASHA MOHAMED AHMED
2 FATMA ALIYAN ABDALLA
3 HAJI SHEHA HAJI
4 HAMAD ABDALLA ALI
5 MOHAMMED HAJI KHATIB
6 MUDRIK NASSIR ALI
7 SAID MOH’D DAUD
8 SAIDA MMANGA OMAR
9 ZAINAB MOHAMED SAID

MSAIDIZI AFISA UHAKIKIMALI DARAJA LA III – UNGUJA
NO JINA KAMILI
1 ABEID HAJI ABEID
2 ABUBAKAR TAHIR KASSIM
3 AHMAD ALI SALUM
4 HAJI IDDI HAJI
5 RUKIA ABDULKADIR KHAMIS
6 SABRA OTHMAN KHAMIS
7 SAID WALID FIKIRIN
8 SALMA GHARIB MOHD
9 YAHYA ALI SEIF
10 ZAKIA JUMA RASHID

AFISA MTUNZA KUMBUKUMBU DARAJA LA II – UNGUJA
NO JINA KAMILI
1 ASHA ADINANI MAKUNGU
2 DALILA SALEH ABDALLA
3 MUSSA ULEDI JUMA
4 NASSOR MUHIDINI KHAMIS
5 SAIDA SAID MAKAME

AFISA SERA DARAJA LA II – UNGUJA
NO JINA KAMILI
1 AMINA MUSSA KHAMIS
2 YUSSUF SIJAAMINI MOHD