Majina ya walio itwa katika usaili ofisi ya rais, tawala za mikoa,serikali za mitaa na idara maalum za smz, kamisheni ya ardhi na wizara ya biashara

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Kamisheni ya Ardhi na Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko kwenda kuangalia majina yao katika Ofisi ya Kamisheni ya Ardhi – Forodhani Zanzibar kuanzia siku ya Jumatano ya tarehe 11 Oktoba, 2017.

 

Wito kwa usaili kamisheni ya wakfu na maliamana na kamisheni ya utalii unguja

Kwa wale ambao watabahatika kuona majina yao wanaombwa kufika Ofisi ya Kamisheni ya Ardhi kwa ajili ya kufanyiwa usaili siku ya Alkhamis ya tarehe 12 Oktoba, 2017 saa 2:00 za asubuhi.

Wasailiwa wote wanatakiwa wachukue vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa pamoja na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.

VIJANA WENYEWE NI:

OFISI YA RAISI TAWALA ZA MIKOA SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ

WAHUDUMU
NO JINA KAMILI
1 FATMA KOMBO ZAUBEIR
2 HAMDU FAKI MAKAME
3 NEMA OMAR MACHANO
4 OMAR JECHA NGWALI
5 RABIA KASSIM JUMA

WATUNZA BUSTANI
NO JINA KAMILI
1 KHAMIS SAID MASOUD
2 MASHAVU RAMADHAN ALI
3 MUHAMMAD HADADI MOH’D
4 PATIMA PANDU KHAMIS
5 SALHA THANI AWESU
6 SHARIF FOUM HASSAN

DEREVA
NO JINA KAMILI
1 AME SILIMA KHAMIS
2 AZANI ABASSI HASSAN
3 HAMAD MUSSA RASHID
4 HARITH ABDALLA ALI
5 MACHANO FIKIRINI SILIMA
6 SALEH JUMA BAKAR
7 SALUM HASSAN MOHAMED
8 SHAMAS ABDALLA SIMAI
9 SIMAI KHAMIS KHERI
10 SULEIMAN JUMAANE SULEIMAN

KARANI MASJALA
NO JINA KAMILI
1 ACHA MUSTAFA ALI
2 AMINA JUMA KHAMIS
3 ASIA ABDI JUMA
4 MIZA KHAMIS MACHANO
5 TATU MCHEZO HASSAN

WALINZI
NO JINA KAMILI
1 ALI MBAROUK SHAABAN
2 ISSA HASSAN KHAMIS
3 SAID MOH’D SALIM
4 SALMIN AMOUR HAJI

WIZARA YA ARDHI,MAJI, NISHATI NA MAZINGIRA

NAFASI YA KAZI YA MCHUMI
NO JINA KAMILI
1 ADAM YOHANA WILSON
2 HAJI KHALID BAKAR
3 HUJJAT IDDI SULEIMAN
4 MOHAMMED HAJI KHATIB
5 SHINENI KOMBO SHINENI

NAFASI YA KAZI YA AFISA TEHAMA DARAJA LA II
NO JINA KAMILI
1 ALI MUHIDIN MAHAMOUD
2 AMOUR KOMBO HASSAN
3 FATIHIYA JABIR MSHAMBA
4 IBRAHIM SALEH MOHAMMED
5 JUMA SADIK VUAI
6 SALUM ALI HABIB

NAFASI YA KAZI YA AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II
NO JINA KAMILI
1 ALI HAJI KHAMIS
2 YUSSUF MUSSA ABRAHMAN
3 ZAINAB NGWALI MAKAME

NAFASI YA KAZI YA MTUNZA RAMANI DARAJA LA III
NO JINA KAMILI
1 AMINA AMOUR KHAMIS
2 FARIDA SULEIMAN ALI
3 HAFIDH SULEIMAN KHAMIS
4 SHEKHA MTUMWA ALI
5 THUWAIBA ZAMANI MSHENGA

NAFASI YA KAZI YA MCHORA RAMANI DARAJA LA III
NO JINA KAMILI
1 ABRAHMAN ALI RAMADHAN
2 ALI MOHD HAMAD
3 ALI SIMON KASWAHILI
4 HAFIDH SULEIMAN MOHAMED
5 JUMA KHAMIS MRIDU
6 RAJAB MAKAME VUAI
7 RASHID SAID RASHID

NAFASI YA KAZI YAMKAGUZI EKA DARAJA LA III
NO JINA KAMILI
1 ABDULNASIR FADHIL MZEE
2 MGENI MTUMWA MAKAME
3 RUFEA JUMA MUHAMMED
4 SEIF UWEZA FOUM
5 SULEIMAN KHAMIS MAKAME

WIZARA YA BIASHARA VIWANDA NA MASOKO

NAFASI YA MWANGALIZI WA OFISI DARAJA LA III
NO JINA KAMILI
1 ABDAALLA JUMA HAJI
2 ASHURA ABRAHMAN OMAR
3 FATMA BUDA JUMA
4 HAMIDA SABURI MBEWA
5 MAWANAIDI HAJI SILIMA

NAFASI YA MKUTUBI MSAIDIZI
NO JINA KAMILI
1 ABDULKADR ALI ABDULLA
2 ASHA BAKAR BURHAN
3 ASMA SHADHIL HAJI
4 NASSOR ALI RAMADHAN
5 UMMUKULTHUM MOHAMED SULEIMAN

NAFASI YA KATIBU MUHTASI DARAJA LA III
NO JINA KAMILI
1 JINA MACHANO HASSAN
2 MARYAM SALIM ALI
3 MUNIRA MAULID ALI
4 MWANAISHA ALI SULEIMAN
5 SAFIYA HAJI BAKARI