Wito kwa usaili kamisheni ya wakfu na maliamana na kamisheni ya utalii unguja

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi katika Ofisi ya Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana na Kamisheni ya Utalii Unguja kwenda kuangalia majina yao Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo (kikwajuni Zanzibar) kuanzia siku ya Jumatano ya tarehe 11 Oktoba, 2017.

Kwa wale ambao watabahatika kuona majina yao wanaombwa kufika Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo (kikwajuni Zanzibar) kwa ajili ya kufanyiwa usaili siku ya Alkhamis ya tarehe 12 Oktoba, 2017 saa 2:00 za asubuhi.

Majina ya walio itwa katika usaili ofisi ya rais, tawala za mikoa,serikali za mitaa na idara maalum za smz, kamisheni ya ardhi na wizara ya biashara

Wasailiwa wote wanatakiwa wachukue vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa pamoja na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.

VIJANA WENYEWE NI:

KAMISHENI YA UTALII ZANZIBAR

AFISA UHUSIANO DARAJA LA II
NO JINA KAMILI
1 AKH-LAM OTHMAN ABDALLA
2 ALI USSI KHAMIS
3 ISBAHI RAJAB JAKU
4 KOMBO HAJI MAKAME
5 RAIYE MKUBWA VUALE
6 SAID MHINE SAID

AFISA UWEKEZAJI DARAJA LA II
NO JINA KAMILI
1 ABDULSATAR ALI MOHAMED
2 ABRARI MASOUD OMAR
3 AME NASSOR RAJAB
4 FAIDHA ALAWI SULEIMAN
5 JOKHA SALEH ALI
6 JUMA MASOUD HAMAD
7 JUMA MUSSA JUMA
8 KHAMIS JUMA HAJI
9 MOHAMED FAKIH CHUM
10 RAJAB SHAABAN SAID
11 SAIDA ABOUD ALI
12 SEIF MOHAMED HEMED
13 SULEIMAN RASHID SULEIMAN
14 TALHA KHAMIS HAMAD
15 TALIB ABDALLA AMOUR
16 WARDA MIRAJI MANSOUR

KAMISHENI YA WAKFU NA MALIAMANA

OPERATOR WA COMPUTER DARAJA LA III
NO JINA KAMILI
1 ABDULRAHMAN SEIF ABDULRAHMAN
2 ABUBAKAR AWESU VUAI
3 ABUBAKAR MTUMWA ALI
4 ADIL ABDULAZIZ OSMAN YUSSUF
5 ALI KHAMIS HAJI
6 ALI SAID ABDULLA
7 AMINA RAMADHAN KHAMIS
8 ASHA KHAMIS UJUDI
9 FADHILI ALI MUSSA
10 FARID ABDULLA OMAR
11 FATIHIYA JABIR MSHAMBA
12 FAUZIYA ABDULLA OMAR
13 HAJI ABDALLA SALUM
14 IBRAHIM THABIT KHEIR
15 IDDI MASOUD TAMIM
16 KHADIJA SAID OMAR
17 MAYASA RASHID KHAMIS
18 MUNIRA HASSAN ALI
19 RUKIA AHMED TALIB
20 SADIKI ADAMU ALI
21 SAFIA AMEIR RAMADHAN
22 SAUDA MASOUD NASSOR
23 SULEIMAN KHAMIS KHEIR
24 TAHIR KASSIM TAHIR
25 TALIB AHMED TALIB
26 THUWAIBA KHAMIS AMOUR
27 YAHYA RAJAB MOHAMED

AFISA UHUSIANO MAMBO YA KIISLAM DARAJA LA II
NO JINA KAMILI
1 ABDUL-AZIZ SALEH JUMA
2 AMINA MASOUD ALI
3 FARIDA KHAMIS MAKAME
4 HAFSA KHELEF MOH’D
5 KHALID IDRISSA JAFFAR
6 KHAMIS ALI AHMADA
7 KHAMIS MUSSA KHAMIS
8 KHAULA ALI OMAR
9 MAULID JUMA MPWANI
10 SAID ABUBAKAR SAID
11 SWAGHIR HASSAN ALI

AFISA MIRADI DARAJA LA II
NO JINA KAMILI
1 ABDULWAHAB YAHYA AWESU
2 MAGDALENA JOSEPH ASILIA
3 ZAINAB NGWALI MAKAME
4 ZUBEDA ALAWI MPWANI