Msanii mpya aliekuja kwa kasi zaidi

Mtambuwe mwimbaji mpya ambayo amekuja kwa kasi zaidi hapa Tanzania. ana nyimbo zake nzuri kwani alianza kujielezea kama hivi.

LOLO DA PRINCESS alizungumuza hivi;Sanaa ya music na filamu  nilianza tangu nipo shule ya msingi tangu nilianza mwaka wa 2009 kwa upande wa na pia music nilianza mwaka wa 2015 ni ambapo niliachia nyimbo ya ZOUK”

Nyimbo nyingine niliachiaa mwaka wa 2016 hii ndo nyimbo yangu ya pili yiitwayo ZOUK,mwaka huu nimetoa nyimbo tatu mbili za raggie danghall na moja ni miondoko yua Afropop”

Katika upande wa filam amecheza tofauti alizoshirikishwa na kwa upande wa alizozitengenea  mwenyewe ni mbili ambazo zote zipo vizuri nasasa zipo yutub, market.

Amesema kuwa, “Ukitaka kupata au kupata hizo kazi zangu ingia yutubu kwakuandika LOLO DA PRINCESS au bofya hapa Lolo da princess.Kwa msaada zaidi wasiliana na kwa kutumia mitamdao ya kijamii yifuatayo”

EMAIL;zuhuraabdulkadir86@gmail.com.

INSTAGRAM;Lolo da princess.

UTUBE;Lolo da princess.

FACEBOOK;Lolo da princess