Wito kwa waliomba nafasi za kazi Wizara ya Ujenzi, Usafirishaji na Mawasiliano na Ofisi ya Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi katika Wizara ya Ujenzi, Usafirishaji na Mawasiliano na Ofisi ya Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana kwenda kuangalia majina yao katika jengo la IPA liliopo Mizingani.

Kwa wale watakao ona majina yao wanatakiwa kufika katika Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji iliyopo Kisauni, siku ya Jumamosi ya tarehe 21 Oktoba, 2017 saa 2:00 za asubuhi.

Pia wanatakiwa kuchukuwa vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.

Vijana wenyewe ni wafuatao kwa upande wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji:

NAFASI YA KAZI YA ULINZI UNGUJA

NO JINA KAMILI JINSIA

1 AMOUR TAJO KHAMIS M
2 HAFIDH SULEIMAN BAKAR M
3 HAJI HAMZA HAJI M
4 SALEH KHAMIS CHUNGA M
5 MAKAME OMAR MAKAME M
6 FAKI MWAITA HASSAN M
7 SEIF MOHAMMED SEIF M
8 YUNUS PANDU AMEIR M
9 ISSA HASSAN KHAMIS M
10 SULEIMAN KASSIM HAJI M
11 LUKMAN ALI KOMBO M
12 RAMADHAN GABRIEL MASANJA M
13 SAID OMAR MPEMBA M
14 SULEIMAN KASSIM RAMADHAN M
15 MOHD YUSSUF MOHD M
16 BAKARI YAHYA PANDU M

NAFASI YA KAZI YA TARISHI

NO JINA KAMILI JINSIA

1 MNYASA SAID HAJI M
2 KHAMIS BAKAR JUMA M
3 DAWA ALI AMOUR F
4 MGENI USSI KASSIM M
5 FALNAKHID SULTAN MALIK M

NAFASI YA KAZI YA AFISA UTUMISHI DARAJA LA III UNGUJA

NO JINA KAMILI JINSIA

1 SHARIFA HUSSEIN SAID F
2 ABDILLAHI JUMA KHAMIS M
3 CHETU MUSSA KHAMIS F
4 RAHMA ALI BAKARI F
5 NASSOR MALOTA SOMA M

NAFASI YA KAZI YA DEREVA DARAJA LA III

NO JINA KAMILI JINSIA

1 ABDULL YUSSUF MAALIM M
2 MAKAME KHAMIS OTHMAN M
3 FADHIL JUMA MAKAME M
4 KHALID MBARAK AHMADA M
5 ALI MOHAMED ALI M

NAFASI YA KAZI YA FUNDI SEREMALA DARAJA LA III

NO JINA KAMILI JINSIA

1 SULEIMAN HAMZA HAJI M
2 MWADINI ISSA MOHAMED M
3 MOHAMED KHAMIS MOHAMED M

NAFASI YA KAZI YA MTUNZA GHALA DARAJA LA III

NO JINA KAMILI JINSIA

1 NASRA HAMADA OMAR F
2 HABIBA SHARIF ISSA F
3 SAUMU MUSTAFA MAKAME F
4 MWANAIDI SALUM MOHAMED F
5 HASSAN SHAIBU IDDI M

NAFASI YA KAZI YA UHUDUMU – UNGUJA

NO JINA KAMILI JINSIA

1 AMINA RAJAB SONGORO F
2 NASRA MOHAMED SEIF F
3 ASHA ALI SAID F
4 ZAINAB KHAMIS RAJAB F
5 MARYAM OMAR NASSOR F

NAFASI YA KAZI YA KARANI MASJALA – UNGUJA

NO JINA KAMILI JINSIA

1 AMINA AMOUR KHAMIS F
2 HAFSA THABIT AMOUR F
3 SAIDA SAID MAKAME F
4 ASMA SHEHA KHAMIS F
5 RAHIKA HAJI KHAMIS F

Aidha kwa upande wa Ofisi ya Kamisheni ya Wakfu na Maliamana Vijana wenyewe ni hawa wafuatao:

OPERATOR WA COMPUTER DARAJA LA III

NO JINA KAMILI JINSIA

1 ADIL ABDULAZIZ OSMAN YUSSUF M
2 AMINA RAMADHAN KHAMIS F
3 TALIB AHMED TALIB M
4 SADIKI ADAMU ALI M
5 MUNIRA HASSAN ALI F

AFISA UHUSIANO MAMBO YA KIISLAM DARAJA LA II

NO JINA KAMILI JINSIA

1 ABDUL-AZIZ SALEH JUMA M
2 FARIDA KHAMIS MAKAME F
3 KHALID IDRISSA JAFFAR M
4 KHAMIS ALI AHMADA M
5 KHAMIS MUSSA KHAMIS M
6 KHAULA ALI OMAR F
7 MAULID JUMA MPWANI M
8 SAID ABUBAKAR SAID M

AFISA MIRADI DARAJA LA II

NO JINA KAMILI JINSIA

1 MAGDALENA JOSEPH ASILIA F
2 ABDULWAHAB YAHYA AWESU M
3 FAIZA ABDULLA OMAR F
4 ZUBEDA ALAWI MPWANI F