Angalia Picha: Sofia Richie na Scott Disick jinsi wanavyokula bata

Mtoto wa msanii mkongwe wa muziki duniani, Lionel Richie, Sofia mwenye umri wa miaka 19 anaendelea kula raha na mpenzi wake Scott Disick (34) ambaye pia aliwahi kuwa na mahusiano na Kourtney Kardashian.

Wawili hao wameonekana katika picha ya pamoja wakiendelea kusherehekea mapenzi yao wakiwa katika moja ya hotel kubwa huko nchini Mexico. Tazama picha zaidi hapa chini.