Hivi punde: Wema Sepetu arejea CCM

Muigizaji wa filamu nchini na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amerejea katika Chama cha Mapinduzi ambacho alijiondoa katika chama hicho mapema mwaka huu.

Taarifa ya kujiondoa kwake ameitoa kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ameandika “Siwezi Kuendelea kuishi kwenye Nyumba inayo nikosesha amani… Peace of mind is everything for me… Natangaza Rasmi kuondoka Chadema na Kurudi Nyumbani…. #ThereIsNoPlaceLikeHome… Feels good to be Back…”