Faiza Ally na Picha za Uchi aliyo post Akijifungua

Msanii wa filamu, Faiza Ally amedai anashangaa kuona watanzania wanapoteza muda kuizungumzia picha yake ambayo aliipost weekend iliyopita ikimuonesha wakati akijifungua mtoto wake wa kiume ambaye kwa sasa ana miezi.

Mrembo huyo amedai yeye haoni vibaya kwa madai ni kitu ambacho alikifanya kwa kuwa anakipenda huku akidai safari ijayo atajifungua live.