Kikosi cha Simba dhidi ya Ndanda leo

Kikosi cha Simba leo kitakachoivaa Ndanda FC huko katika uwanja wa Nagwanda Sijaona mkoani Mtwara.

1.Aishi Manula – 28
2.Paul Bukaba – 23
3.Shiza Kichuya – 25
4.Juuko Murshid -06
5.Erasto Nyoni – 18
6.Jonas Mkude – 20
7.John Bocco – 22
8.James Kotei -03
9.Juma Luizio – 10
10.Mzamiru Yassin – 19
11.Mohamed Ibrahim -4

SUBS.
1. Emanuel Mseja – 30
2.Mohamed Hussein – 15
3.Yusufu Mlipili – 05
4. Said Hamisi – 13
5.Jamali Mwambeleko-26
6.Nicholas Gyan – 29.
7.Moses Kitandu – 35.