Vijana Chakechake wafundwa juu ya dhana ya Diaspora

WAJUMBE wa mabaraza ya Vijana kutoka wilaya nne za Pemba, wakifuatilia hutuba ya Mkuu wa wilaya ya Chakechake Rashid Hadid Rashid, wakati alipokuwa akifungua semina juu ya dhana ya diaspora, semina iliofanyika skuli ya sekondari Madungu mjini Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba) .

OFISA wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratib wa wazanzibari wanaoishi nje ya nchi, Ali Ameir Haji, akielezea dhana ya diaspora, kwa wajumbe wa mabaraza ya vijana wa wilaya nne za Pemba, kwenye semina iliojadili dhana hiyo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

WAJUMBE wa mabaraza ya Vijana kutoka wilaya nne za Pemba, wakifuatilia hutuba ya Mkuu wa wilaya ya Chakechake Rashid Hadid Rashid, wakati alipokuwa akifungua semina juu ya dhana ya diaspora, semina iliofanyika skuli ya sekondari Madungu mjini Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba) .

MWEMYEKITI wa baraza la vijana wilaya ya Chakechake Bakar Hamad Bakar, akitoa neneo la shukran mara baada ya Mkuu wa wilaya ya Chakechake Rashid Hadid kufungua semina kwa wajumbe wa mabaraza ya vijana kisiwani Pemba, semina iliofanyika skuli ya sekondari Madungu, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

MKUU wa wilaya ya Chakechake Rashid Hadid Rashid (watatu kulia waliokaa), akiwa na baadhi ya wajumbe wa mabaraza ya vijana kisiwani Pemba, muda mfupi baada ya kufungua semina ya dhana ya diaspora, iliofanyika skuli ya sekondari Madungu, (Picha na Haji Nassor, Pemba).