Picha: Uzinduzi Mpango wa Mradi wa Michezo Mashuleni Sport 55

Baadhi ya Walimu pamoja na Wanfunzi wao waliohudhuria katika Uzinduzi wa Mpango wa Mradi wa Michezo Mashuleni Sport 55 hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Wilaya ya Mjini unguja.

 

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Michezo Mashuleni Mhe,Balozi Mohammed Ramia mara baada ya kuwasili baraza la Wawakilishi la Zamani kwaajili ya Kuzindua Mpango wa Mradi wa Michezo Mashuleni Sport 55.Katikati kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Mgharibi Ayoub Mohammed Mahmoud na mwengine ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mmanga Mjengo Mjawiri.

 

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya AmaliĀ  Bi,Khadija Bakari akizungumza machache katika Uzinduzi wa Mpango wa Mradi wa Michezo Mashuleni Sport 55 hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Wilaya ya Mjini unguja.

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Michezo Mashuleni Mhe,Balozi Mohammed Ramia akitoa hotuba ya makaribisho katika Uzinduzi wa Mpango wa Mradi wa Michezo Mashuleni Sport 55 hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Wilaya ya Mjini unguja
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mmanga Mjengo Mjawiri akitoa maelezo kuhusiana na Michezo mashuleni kisha kumkaribisha mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Mpango wa Mradi wa Michezo Mashuleni Sport 55 hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Wilaya ya Mjini unguja.

 

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Ali Hassan Mwinyi akisisitiza jambo alipotoa hotuba ya Uzinduzi wa Mpango wa Mradi wa Michezo Mashuleni Sport 55 hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Wilaya ya Mjini unguja.kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mmanga Mjengo Mjawiri na kulia alie kaa ni -Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Michezo Mashuleni Mhe,Balozi Mohammed Ramia.

 

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Ali Hassan Mwinyi kilia akimkabidhi Afisa wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mkoa wa Kusini Unguja Abdalla Makame Makame Vifaa vya Michezo katika Uzinduzi wa Mpango wa Mradi wa Michezo Mashuleni Sport 55 hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Wilaya ya Mjini unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.