Picha 5: Rais Shein akifungua studio za ZBC

Baadhi ya Wafanyakazi wa ZBC TV waliohudhuria katika Ufunguzi wa Studio za shirika hilo la Utangazaji la Zanzibar, hafla iliofanyika katika viwanja vya Karume House Mnazi mmoja Wilaya ya Mjini Unguja.

 

Rais wa Zanzibar Dkt,Ali Mohammed Shein kushoto akibadilishana mawazo na Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Rashid Ali Juma mara baada ya kufungua Studio za shirika la Utangazaji la Zanzibar (ZBC)TV hafla iliofanyika katika viwanja vya Karume House Mnazi mmoja Wilaya ya Mjini Unguja.

 

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan (KING)akitoa maelezo mafupi kuhusu mradi wa utengenezaji Studio za shirika la Utangazaji la Zanzibar (ZBC)TV hafla iliofanyika katika viwanja vya Karume House Mnazi mmoja Wilaya ya Mjini Unguja.

 

Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Rashid Ali Juma akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Studio za shirika la Utangazaji la Zanzibar (ZBC)TV hafla iliofanyika katika viwanja vya Karume House Mnazi mmoja Wilaya ya Mjini Unguja.

 

Rais wa Zanzubar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein akisisitiza jambo alipotoa hotba ya Ufunguzi wa Studio za shirika la Utangazaji la Zanzibar (ZBC)TV hafla iliofanyika katika viwanja vya Karume House Mnazi mmoja Wilaya ya Mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.