Dkt. Shein akifungua barabara ya Jendele, Cheju hadi Unguja Ukuu

Barabara ya Jendele,Cheju hadi Unguja Ukuu yenye urefu wa Kilomita 13 iliofunguliwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein hafla iliofanyika Cheju Wilaya ya Kati Unguja ,Ikiwa ni miongoni mwa Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein akikunjuwa kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Barabara ya Jendele,Cheju na Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja ,Ikiwa ni miongoni mwa Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Barabara ya Jendele,Cheju na Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja ,Ikiwa ni miongoni mwa Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein wapili kulia  akitembee kwa miguu baada ya kuifungua Barabara ya Jendele,Cheju na Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja ,Ikiwa ni miongoni mwa Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

Baadhi ya Wageni waalikwa pamoja na Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Barabara ya Jendele,Cheju na Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja ,Ikiwa ni miongoni mwa Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe akitoa maelezo ya kitaalamu katika hafla ya Ufunguzi wa Barabara ya Jendele,Cheju na Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja iliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein ,Ikiwa ni miongoni mwa Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Balozi Ali Abeid Karume akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi katika hafla Ufunguzi wa Barabara ya Jendele,Cheju na Unguja Ukuu Kaebona yenye urefu wa kilomita 13 Wilaya ya Kati Unguja ,Ikiwa ni miongoni mwa Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohammed Shein akisisitiza jambo alipotoa Hotuba ya Ufunguzu wa  Barabara ya Jendele,Cheju na Unguja Ukuu Kaebona yenye urefu wa kilomita 13 Wilaya ya Kati Unguja ,Ikiwa ni miongoni mwa Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, Kulia yake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Haji Omar Kheri na kushoto yake ni Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Balozi Ali Abeid Karume .
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.