Picha 17 kilele cha maadhimisho ya miaka 54 ya mapinduzi Zanzibar

Wananchi kutoka sehemu mbalimbali wakijumuika pamoja katika kuangalia Urushwaji wa Fash Fash za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliofanyika Usiku wa kuamkia siku ya kilele cha maadhimisho hayo Maisara Mjini Unguja.

 

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi katikati akiwa pamoja na waheshimiwa mbalimbali wakiangalia Urushwaji wa Fash Fash za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliofanyika Usiku wa kuamkia siku ya kilele cha maadhimisho hayo Maisara Mjini Unguja.

 

Wananchi kutoka sehemu mbalimbali wakijumuika pamoja katika kuangalia Urushwaji wa Fash Fash za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliofanyika Usiku wa kuamkia siku ya kilele cha maadhimisho hayo Maisara Mjini Unguja.

 

Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar Aman mjini Unguja.

 

Rais Mstaafi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt,Aman Abeid Karume akisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu na Mwanadiplomasia Dkt,Salim Ahmed Salim mara alipowasili katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar Aman mjini Unguja.

 

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Awamu ya Tatu Mzee Benjamin Wiliam Mkapa mara alipowasili katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar Aman mjini Unguja.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzabar Omar Othman Makungu mara alipowasili katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar Aman mjini Unguja.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein akiwapungia mkono wananchi mbalimbali ikiwa ishara ya kuwasalimia mara alipowasili katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar Aman mjini Unguja.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein akikaguwa gwaride rasmi lililoandaliwa kwa ajili yake katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar Aman mjini Unguja.

 

Wananchi wa Mikoa mitano ya Zanzibar wakipita mbele ya Mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Muhammed Shein hayupo pichani katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar Aman mjini Unguja.

 

Kikosi cha Polisi cha FFU Kikipita kwa Gwaride mbele ya Mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Ali Muhammed Shein hayupo pichani katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar Aman mjini Unguja.

 

Kikosi maalum cha kuzuia Magendo KMKM Kikipita kwa Gwaride mbele ya Mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Muhammed Shein hayupo pichani katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar Aman mjini Unguja.

 

Waheshimiwa pamoja na Makamanda wa Jesh wakitoa Heshima wakati ulipoimbwa Wimbo wa Taifa katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar Aman mjini Unguja.