Picha: Dkt Shein akiweka jiwe la msingi mji mpya wa kisasa nyamanzi

Sherehe za Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mji wa Kisasa(Funba Town Development)Nyamanzi Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

Baadhi ya Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mji wa Kisasa(Funba Town Development)Nyamanzi Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein akikunjuwa kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mji wa Kisasa(Funba Town Development)Nyamanzi Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Khamis Mussa akitoa maelezo kuhusiana na mji wa Kisasa (Funba Town Development)baada ya kuwekwa jiwe la msingi na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Muhammed shein Nyamanzi Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

Mmiliki wa Mradi wa Ujenzi wa mji wa kisasa (Fumba Town Development) Sebastian Dietzold akitoa maelezo kuhusiana na uendelezaji wa ujenzi wa mji huo katika sherehe za Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mji huo wa Kisasa .Nyamanzi Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Mohammed akitoa maelezo kuhusiana na miradi mbalimbali ya kimaendeleo ya Zanzibar katika sherehe za Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mji wa Kisasa (Fumba Town Development). Nyamanzi Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein akitoa hotuba ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mji wa Kisasa (Fumba Town Development). Nyamanzi Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kulia yake ni Makamo wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Baloz Seif Ali Idi na kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Mohammed

 

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.