Mbunge wa Chumbuni atembelea kituo cha kujifungulia wazazi jimboni kwake

MBUNGE wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza akiwatembelea mzazi aliojifungua katika kituo cha Hospitali ya Jimbo la Chumbuni baada ya kuruhusiwa na Wizara ya afya Zanzibar kutoa huduma za kujifungua.

MBUNGE wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza akimpatia zawadi mzazi Leluu Khamis aliejifungua katika kituo hicho ikiwa ni ahadi aliyoiweka kwa wazazi kumi wa mwanzo watakaojifungua kituoni hapo.

MBUNGE wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza akichunguza damu mara baada ya kukabidhi kifaa cha kuchunguzia damu kituoni hapo.

Picha na Abdalla Omar Maelezo Zanzibar.