Habari Picha:Waandishi wakizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Unguja

Mwandishi wa Habari wa ITV Farouk Karym akiuliza maswali katika Mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir kuhusiana na kuanzishwa Mabaraza ya Wadi na Kamati za Mashauriano za Shehia katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir akifafanua jambo wakati akijibu maswali katika mkutano na Waandishi wa Habari kuhusiana na kuanzishwa Mabaraza ya Wadi na Kamati za Mashauriano za Shehia uliofanyika  katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir akizungumza na Waandishi wa Habari  kuhusiana na  kuanzishwa Mabaraza ya Wadi na Kamati za Mashauriano za Shehia uliofanyika  katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Afisa  wa Habari wa Habari Maelezo zanzibar Salum Vuai akiuliza maswali katika Mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir kuhusiana na kuanzishwa Mabaraza ya Wadi na Kamati za Mashauriano za Shehia katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Picha na Yussuf Simai/Maelezo Zanzibar.