Picha: Ugawaji wa kamusi kwa vyombo vya habari Pemba

KAIMU Mratibu wa ZBC Pemba Abdalla Abeid, akipokea kamusi za Kiswahili sanifu, kutoka kwa Afisa Mdhamini Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Pemba, Khatib Juma Mjaja, hafla iliofanyika ukumbi wa wizara hiyo, mjini Chakechake Pemba

 

MWENYEKITI wa PPC,  Said Mohamed Ali, akipokea kamusi za Kiswahili sanifu, kutoka kwa Afisa Mdhamini Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Pemba, Khatib Juma Mjaja, hafla iliofanyika ukumbi wa wizara hiyo, mjini Chakechake Pemba

 

MKUU wa Idara ya Habari Melezo, Pemba Marzouk Khamis Sharif, akipokea kamusi za Kiswahili sanifu, kutoka kwa Afisa Mdhamini Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Pemba, Khatib Juma Mjaja (kushoto), hafla iliofanyika ukumbi wa wizara hiyo, mjini Chakechake Pemba

 

MWAKILISHI wa ITV/Redio one Pemba Suleiman Rashid Omar, akipokea kamusi za Kiswahili sanifu, kutoka kwa Afisa Mdhamini Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Pemba, Khatib Juma Mjaja (kushoto), hafla iliofanyika ukumbi wa wizara hiyo, mjini Chakechake Pemba

 

MWAKILISHI wa Sauti ya Istiqama  Pemba, Salum Ali Msellem, akipokea kamusi za Kiswahili sanifu, kutoka kwa Afisa Mdhamini Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Pemba, Khatib Juma Mjaja (kushoto), hafla iliofanyika ukumbi wa wizara hiyo, mjini Chakechake Pemba

 

MKUU wa Idara ya Mkumbusho na Mambo ya kale Pemba, Khamis Ali, akipokea kamusi za Kiswahili sanifu, kutoka kwa Afisa Mdhamini Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Pemba, Khatib Juma Mjaja, (kushoto) hafla iliofanyika ukumbi wa wizara hiyo, mjini Chakechake Pemba

 

MDHAMINI Kamisheni ya utalii Pemba, Jamal Salami Salum, akipokea kamusi za Kiswahili sanifu, kutoka kwa Afisa Mdhamini Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Pemba, Khatib Juma Mjaja, hafla iliofanyika ukumbi wa wizara hiyo, mjini Chakechake Pemba

Picha na Haji Nassor.