Orodha majina ya watu walio itwa katika usaili taasisi tofauti za SMZ Pemba

Usaili kwa OFISI YA MSAJILI WA HAKIMILIKI – PEMBA na SHIRIKA LA HUDUMA ZA MAKTABA – PEMBA utafanyika siku ya tarehe 23 Machi, 2018 Skuli ya Maandalizi Madungu saa 2:00 asubuhi.

Bonyeza hapa chini kutazama majina: 

Usaili kwa shirika la huduma za maktabapemba na ofisi ya msajili wa hakimiliki

 

Usaili kwa KAMISHENI YA UTALII – PEMBA utafanyika siku ya tarehe 24 Machi, 2018 skuli ya Maandalizi Madungu saa 2:00 za asubuhi

Bonyeza hapa chini kutazama majina: 

Usaili kwa wizara ya afya – pemba na kamisheni ya utalii – pemba

Usaili kwa OFISI YA MAKAMO WA PILI WA RAISI – PEMBA utafanyika siku ya tarehe 25 Machi, 2018 Skuli ya Maandalizi Madungu saa 2:00 asubuhi.

 

Bonyeza hapa chini kutazama majina: 

Walio itwa katika usaili ofisi ya makamo wa pili wa raisi – Pemba

 

Usaili WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO utafanyika siku ya tarehe 26 Machi, 2018 skuli ya Maandalizi Madungu saa 2:00 asubuhi

Bonyeza hapa chini kutazama majina: 

Orodha ya majina usaili wizara ya fedha – Pemba