Orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili ofisi ya rais tawala za mikoa

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi ya kazi ya Muhandisi Ujenzi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kwenda kuangalia majina yao katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini kuanzia siku ya Alkhamis ya tarehe 12 Aprili, 2018.

Kwa wale ambao watabahatika kuona majina yao wanaombwa kufika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini kwa ajili ya kufanyiwa usaili siku ya Jumanne ya tarehe 17 Aprili, 2018 saa 2:00 za asubuhi.

Wasailiwa wote wanatakiwa wachukue vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa pamoja na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.

Vijana Wenyewe ni hawa wafuatao:

NO JINA KAMILI JINSIA

1 ABDALLA OMAR KHAMIS M
2 ABSHIR KHAMIS MBAROUK M
3 ABUBAKAR MOHD BAKAR M
4 ALI MOHAMED KHAMIS M
5 BAKAR MUHSIN BAKAR M
6 HALIMA ABDALA ABASSI F
7 OMAR MBAROUK OMAR M
8 SAADA MUSSA SAID F
9 SAID ABDALLA SAID M
10 SALIM KASSIM JUMA M
11 SALUM MASOUD ATTAI M
12 SHARIFA SULEIMSN OTHNMAN F
13 SWAHIM ABDULLA ABDULLA M