Ray Kigosi amewataka wasanii wenzake kuwa wakweli

Staa wa Bongo Movie Ray Kigosi amewashauri waigizaji wenzake na kuwaomba pindi wanapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi basi wawe wazi na kuyaweka mbele ya watu na kuacha uongo kwani sisi sote ni binadamu.

kupitia ukurasa wake wa instagram

Ray Kigosi ameandika ujumbe huo kupitia  ukurasa wake wa Instagram amabo aliandika;

WASANII WENZANGU TUJIFUNZE KUSEMA UKWELI TUNAPOKUWA KWENYE MAHUSIANO MAANA HATA SISI NI BINADAMU HATUZUIWI KUWA NA WENZA TUWAPENDAO

KUSEMA UONGO NI DHAMBI NA MFICHA MARADHI KIFO UMUUMBUA KWANI HAKUNA UONGO UNAOWEZA KUDUMU MILELE NI USHAURI TU UNAWEZA KUUCHUKUA AU KUNIACHIA USHAURI WANGU NIPUYANGE NAO

https://www.instagram.com/p/BhgtIWjFVie/?taken-by=raythegreatest