Waziri wa habari Mahmoud Thabit Kombo atembelea shirika la ZBC na idara ya habari maelezo Zanzibar

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kulia akipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa ZBC Ali Aboud wakati akitembelea sehemu ya mitambo ya ZBC Redio katika Ziara maalum ya kutembelea Idara mbalimbali za Wizara hio Zanzibar.

 

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kulia akizungumza ndani ya Studio ya Spice FM Radio ilioko Rahaleo wakati akiwa katika Ziara maalum ya kutembelea Idara mbalimbali za Wizara hio Zanzibar.

 

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akitoa maelekezo kwa Waandishi wa Habari wa ZBC Radio ilioko Rahaleo wakati akiwa katika Ziara maalum ya kutembelea Idara mbalimbali za Wizara hio Zanzibar.

 

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akifahamisha jambo alipokuwa katika ziara yake katika Kitengo cha ZMUX ambacho kinahusika na uuzaji wa Vin’gamuzi Rahaleo mjini Zanzibar .

 

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kushoto akipata maelezp kutoka kwa Muhandisi Mkuu wa Zmux Noura Decosta wakati akitembelea katika Kitengo cha ZMUX ambacho kinahusika na uuzaji wa Vin’gamuzi Rahaleo mjini Zanzibar .