Mwakilishi jimbo la Tunguu afanya ziara chuo kikuu Zanzibar (ZU)

MWAKILSHI wa Jimbo la Tunguu Simai Mohamed Said akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Zanzibar (ZU) Pr. Musta Roshash alipofika ofisini kwake Chuoni hapo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.

 

MWAKILSHI wa Jimbo la Tunguu Simai Mohamed Said akisaini kitabu cha Wageni baada ya kufanya ziara ya kutembelea Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU).

 

MWAKILSHI wa Jimbo la Tunguu Simai Mohamed Said katikati akizungumza na Wakuu wa chuo hicho kushoto kweke ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho Pr. Musta Roshash kulia ni Mkuu wa Utawala Ahmad Majid Ali.

 

MWAKILSHI wa Jimbo la Tunguu Simai Mohamed Said akizungumza na baadhi ya  wanfunzi  wanaotoka Nje ya Nchi ya Tanzania alipofanya ziara ya kutembelea chuoni hapo.

 

MWANAFUNZI kutoka Nchi ya Zambia Cristina akizungumzia changamoto na mafanikio mbalimbali zinazowakabili chuoni hapo.

 

MWANAFUNZI kutoka Malawi Hassan akichangia baadhi ya changamoto wanazozipata na kumtaka Mwakilishi huyo kuwasaidia kuzitatua changamoto hizo.

 

BAADHI ya Wanafunzi kutoka Nje ya Nchi yaTanzania wakimsikiliza Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu alipofanya ziara ya kutembelea Chuoni hapo.

 

BAADHI ya Wanafunzi kutoka Nje ya Nchi yaTanzania wakimsikiliza Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu alipofanya ziara ya kutembelea Chuoni hapo.

 

MWAKILSHI wa Jimbo la Tunguu Simai Mohamed Said alievaa suti akipiga picha ya pamoja na wanfunzi wanaotoka Nje ya Nchi ya Tanzania

Picha na Abdalla Omar Maelezo – Zanzibar.