Orodha ya wanaoitwa kwenye Usaili wa Tume ya Mipango Unguja

TUME YA UTUMISHI SERIKALINI INAWATANGAZIA VIJANA WATAKAOONA MAJINA YAO AMBAO WAMEOMBA NAFASI YA KAZI YA UDEREVA KATIKA OFISI YA TUME YA MIPANGO UNGUJA KUFIKA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA UPANDE WA BARA BARA YA KUELEKEA KIEMBESAMAKI KWA AJILI YA KUFANYIWA USAILI SIKU YA IJUMAA YA TAREHE 08 JUNI, 2018 SAA 2:00 ZA ASUBUHI. PIA WANATAKIWA KUCHUKUWA VYETI VYAO HALISI VYA KUMALIZIA MASOMO, CHETI CHA KUZALIWA NA KITAMBULISHO CHA MZANZIBARI. VIJANA WENYEWE NI HAWA WAFUATAO:-

NO. JINA KAMILI

1 ABUBAKAR TAIBU ISSA
2 ALI MBAROUK ALI
3 ALI YAHYA RASHID
4 HASSAN ALI HAMAD
5 HASSAN MUSSA SAID
6 LUKMAN ALI BAKARI
7 MAHMOUD CHANDE MOUMIN
8 MOHAMMED IDDI HASSAN
9 OMAR OTHMAN ISSA
10 OTHMAN FADHIL JUMA
11 YAHYA JUMA HAMAD
12 YUSSUF KHAMIS DONMIC
13 MAHMOUD MUHIDIN MAHMOUD