Angalia Picha: shamra shamra za maandalizi ya Skukuu ya Iddil-fitri Darajani Unguja

Waumini wa dini ya kiislamu wakiwa ukingoni katika kuhitimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani wamejawa na shauku kubwa la kujiandaa na Skukuu ya Iddil-fitri kwa kujikita katika maandalizi ya kujitafutia visherehesho mbali mbali ndani ya Maduka tofauti ya Darajani Mjini Unguja.

 

 

 

Picha: Yoda – 1990