Tangazo La Wito Wa Usaili Kwa Ofisi Ya Msajili Wa Hakimiliki Zanzibar

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi katika Ofisi ya Msajili wa Hakimiliki Zanzibar kwenda kuangalia majina yao katika Nyumba za Wazee Sebleni.

Kwa wale watakao ona majina yao wanatakiwa kufika katika Nyumba za Wazee Sebleni siku ya Jumamosi ya tarehe 23 Juni, 2018 saa 3:00 za asubuhi.

Pia wanatakiwa kuchukuwa vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.

VIJANA WENYEWE NI HAWA WAFUATAO:

NAFASI YA KAZI YA UHUDUMU

NO JINA KAMILI

1 AMINA AHMED ABASS
2 AMINA KOMBO ZUBEIR
3 BIUBWA IDRISSA HUSSEIN
4 MWANAIDI KHAMIS MUSSA
5 RAUDHA ABDALLA MOHD

NAFASI YA KAZI YA MSAIDIZI AFISA KUMBUKUMBU

NO JINA KAMILI

1 SITI SHAABANI ABDULLA
2 FATMA TWAHA MUSTAFA
3 JOKHA MTUMWA ALI
4 MARYAM MOHD SIMBA
5 TATU HAJI KHAMIS

NAFASI YA KAZI YA AFISA UTUMISHI DARAJA LA II

NO JINA KAMILI

1 AMNE KHAMIS ALI
2 MARYAM BURHAN AMRAN
3 RAHMA MUSSA JUMA
4 SABRA JUMA HASSAN
5 YUNUS MOHD KHAMIS

NAFASI YA KAZI YA KATIBU MUHTASI

NO JINA KAMILI

1 GHANIMA KHATIB AMOUR
2 ISRA RASHID ALLY
3 KISIBU PILI KHAMIS
4 MAIMUNA MWINYI JUMA
5 MARYAM HASSAN OMAR
6 MARYAM SALIM ALI
7 MWAMIZE HAJI HAJI
8 NURU WABIL NAUFAL

NAFASI YA KAZI YA AFISA LESENI DARAJA LA II

NO JINA KAMILI

1 ARAFAT MAKAME ABDULLA
2 FAT-HIYA SALUM ABDALLA
3 HAJI SUNGURA MAKAME
4 MWANAHAWA JUMA MPENDA
5 MWINYI MUSSA HASSAN
6 NAJMA ABDALLA ALI
7 ROSEMARY BONIPHACE NYANDWI
8 SABRA FAROUK TAHIR
9 SALHA ABDULRAHMAN SEIF

NAFASI YA KAZI YA AFISA UKAGUZI WA HAKIMILIKI DARAJA LA II

NO JINA KAMILI

1 HALIMA AME WADI
2 MARYAM MOHAMMED OMAR
3 MWANAHARUSI SHAABAN RAJAB
4 MWANAISHA MRISHO MWINYI
5 RAHMA SULEIMAN AMEIR
6 SHAMI OTHMAN RAJAB
7 SIYANGU ABDULLA AMEIR
8 ZALHAT IDDI WAKIL

NAFASI YA KAZI YA AFISA SHERIA DARAJA LA II

NO JINA KAMILI

1 MARYAM ABDALLA ALI
2 MOHAMED SAID MOHAMED
3 MOZA KAWAMBWA MZOLE
4 SUMAYYA AWADH HASSAN
5 ZUHURA SALUM JUMA