Orodha ya majina ya walioitwa katika Usaili Wizara Ya Katiba Na Sheria Utumishi Wa Umma Na Utawala Bora

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi katika Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar kwenda kuangalia majina yao katika Nyumba za Wazee Sebleni.

Kwa wale watakao ona majina yao wanatakiwa kufika katika Nyumba za Wazee Sebleni siku ya Jumamosi ya tarehe 23 Juni, 2018 saa 3:00 za asubuhi.

Pia wanatakiwa kuchukuwa vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo, Cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi

VIJANA WENYEWE NI HAWA WAFUATAO:

NAFASI YA KAZI YA MSIMAMIZI WA MAJENGO DARAJA LA II

NO JINA KAMILI

1 ALI MOHAMED KHAMIS
2 ABUBAKAR MOHD BAKAR
3 HAFIDH RASHID ZAM
4 IBRAHIM ALI IBRAHIM
5 SAKHIYA AMOUR RASHID
6 SALIM KASSIM JUMA
7 SWAHIM ABDULLA ABDULLA

NAFASI YA KAZI YA MSIMAMIZI WA MAJENGO MSAIDIZI DARAJA LA III

NO JINA KAMILI

1 LATIFA SHAIB KHAMIS
2 MASSOUD SULEIMAN JAMAL

NAFASI YA KAZI YA MUANDISHI WA HABARI DARAJA LA II

NO JINA KAMILI

1 MOH’D JANJA CHUM
2 MUZNE ABDALLA ABDALLA
3 MWANAIDI KHAMIS CHUM
4 PILI KHATIB MUSSA
5 RAHMA VUAI SULEIMAN
6 SHAABAN ALI OTHMAN

NAFASI YA KAZI YA AFISA ITIFAKI MSAIDIZI DARAJA LA III

NO JINA KAMILI

1 ALI SHEHA HAMAD
2 FATMA ALI KHAMIS
3 JUMA MAKAME HAJI
4 KAZIJA HAJI HASSAN
5 MARYAM MAKAME MOHD

NAFASI YA KAZI YA KARANI MASJALA

NO JINA KAMILI

1 AMINA AMOUR KHAMIS
2 RABIA HAMID SUEIMAN
3 RAHMA KHATIB AHMADA
4 SABRINA KEIS MWINYI
5 ZENA ABDALLA SULEIMAN

NAFASI YA KAZI YA TAARISHI DARAJA LA III

NO JINA KAMILI

1 ABDALLA ALI HAMZA
2 ABDULRAHIM MOHAMED KHEIR
3 ABDULRAHMAN SEIF ABDULRAHMAN
4 AMINA HAJI MKOMBE
5 AMINA NYANGE ALI
6 ASMA ALI JUMA
7 FATMA CHARLES LAZARO
8 FATMA KOMBO ZUBEIR
9 FAUZIA KHAMIS RASHID
10 HARITH ABDALLA ALI
11 IBRAHIM MUSSA IBRAHIM
12 JAMILA HAJI SIMAI
13 KHATIB MUSSA MKWENDE
14 MWASITI KHAMIS FAKI
15 NASRA NASSOR KHAMIS
16 NURU WAZIRI ALI
17 OMAR JUMA MWALIMU
18 OTHMAN HAMAD OTHMAN
19 PANDU MOHD PANDU
20 RAHMA YUSSUF KHAMIS
21 SALMA ISSA HEMED
22 SHARIFA KHAMIS MTUMWA
23 SHEWEKHA KASSIM AWESU
24 SICHANA OTHMAN SULEIMAN
25 TAHFIFU YAHYA JUMA
26 TATU MAKAME KHAMIS
27 WANU BAYA BAKAR
28 ZIADA HAJI MSHIDO
29 ZUHURA MBARAKA HASSAN
30 ZULEKHA ALI IBRAHIM

NAFASI YA KAZI YA MUANDISHI WA HABARI MSAIDIZI DARAJA LA III

NO JINA KAMILI

1 FARHAT SHEHA HASSAN
2 KASSIM ALI HAMAD
3 MARYAM HIMID KIDIKO
4 MGINDO ABDALLA ALI
5 MUZNE ABDULLA ABDULLA