Shamra shamra za maadhimisho ya siku ya Idadi ya Watu Duniani

Meneja wa Mawasiliano Shirika la Kimataifa la Idadi ya Watu Dunian (UNFPA) Warren Bright akimkaribisha Mgeni Rasmin Kamishnawa Tume ya Mipango Zanzibar  Salama Ramadhan (katikati) katika warsha ya  siku moja kwa Waandishi wa Habari  kuhusu uzazi wa Mpango.

 

Kamishna  wa Tume ya Mipango Zanzibar Salama Ramadhan ambaye ni Mgeni Rasmin akitowa ufafanuzi kuhusu Maadhimisho ya siku ya Idadi ya Watu Duniani (kulia) Afisa wa Afya ya Uzazi na Ukimwi (UNFPA) Zanzibar Azzan Amin Nofly na Samweli Msokwa  mtaalamu wa Fedha ya Watu na Maendeleo (UNFPA).

 

Mratibu Huduma za Afya ya Uzazi na Mtoto Wanu Bakari Khamis akitowa mada kuhusu  kutumia njia za Uzazi wa Mpango zilizosalama kwa Baba na Mama
Dkt.Issa Ziddy akitowa Mada kuhusu njia ya Uzazi wa Mpango katika Uislamu kwa Waandishi wa Habari.

 Picha na Miza Othman Maelezo- Zanzibar.