Kampuni ya uvuvi Zanzibar (ZAFICO) Imetiliana saini na kampuni ya Hairu Group ya Sirlanka

Kampuni ya uvuvi Zanzibar (ZAFICO) Imetiliana saini na kampuni ya Hairu Group ya Sirlanka kwa ajili ya ununuzi wa boti ya kisasa ya kuvulia.

MKURUGENZI Mtendaji Kampuni ya Uvuvi ya Zanzibar (ZAFICO) Zahor Kassim Mohamed (kulia) wakitia saini na Mwenyekiti wa Hairu Group ya  Sirilanka  Zainul-Abdeen Mohamed kwaajili ya Ununuzi wa Boti ya Kisasa ya Uvuvi, katika hafla iliofanyika Ukumbi wa Wizara ya Kilimo, Mifugo, Maliasili na Uvuvi Darajani Mjini Zanzibar.

 

MKURUGENZI Mtendaji Kampuni ya Uvuvi ya Zanzibar (ZAFICO) Zahor Kassim Mohamed (kulia) wakibadilisha hati za makubadhiano na Mwenyekiti wa Hairu Group ya  Sirilanka  Zainul-Abdeen Mohamed kwaajili ya Ununuzi wa Boti ya Kisasa ya Uvuvi, katika hafla iliofanyika Ukumbi wa Wizara ya Kilimo, Mifugo, Maliasili na Uvuvi Darajani Mjin

PICHA NA ABDALLA  OMAR – MAELEZO  ZANZIBAR.