Mume wa Shamsa Ford ambaye pia ni Mfanyabiashara Maarufu anaye julikana zaidi kwa jina la ChidiMapenzi amezidi kuitia sukari ndoa yake na msanii wa filamu nchini Shamsa Ford baada ya kumnunulia gari adimu hapa nchini aina ya Mini Cooper.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Chidi Mapenzi aliweka picha ya gari hiyo na kuandika “This is for you my lovely wife

https://www.instagram.com/p/BMYmTVVhVkw/?taken-by=chiddimapenzi

Nae Shamsa Ford hakuwa nyuma kutoa shukrani zake hivyo aliweka picha ya gari hiyo na kuandika:

“inaweza kuwa dogo kwa wengine lakini kwangu ni kubwa mnoo..Asante mume wangu rashidi kwa kunithamini. Hakika Mimi na wewe tumeonganishwa na Mungu na atayetutenganisha Mimi na wewe ni MUNGU pekee na si mwanadamu..Nakupenda MWANAUME WA NDOTO ZA MAISHA YANGU..”

https://www.instagram.com/p/BMZtAGvBYKc/?taken-by=shamsaford