Leo tarehe 4 April majira ya saa nane na nusu mchana Boti moja imezama baada ya kukumbwa na dharuba ya upepo huku kukiendele kunyesha kwa mvua.

Boti hiyo ya uvuvi iliyo julikanwa kwa jina la SHOO ambayo ina milikiwa na Omar Kombo mwenyeji wa kojani ilizama katika maeneo ya magharibi ya kisiwa cha tumbatu baada ya kukubwa na dharuba ya upepo wakati ikiwa katika shuhuli zake za uvuvi.

Kwa taarifa za awali Boti hiyo inadaiwa kubeba zaidi ya watu 50 na watu 41 tayari wa meshasha okolewa na wengine hawajaonekanwa