Mchumba wa Diamond atambulisha gari lake aina ya BMW

Ikiwa ni takribani mwezi mmoja umepita tangu msanii Diamond Platnumz kukutana na mpenzi wake ambaye ni raia wa Kenya Tanasha Dona,

Tanasha ameamua kuitambulisha na kuionesha hadharani gari yake.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanadada, Tanasha ameioesha hadharani gari yake hiyo aina ya BMW yenye rangi ya blue.

Tanasha akiwa na Diamond

Tanasha ameitambulisha gari hiyo na kuandika:-
Miss my BEAST baby blue ūüĒ•¬†@bmw‚Ä̬†lakini¬†chini¬†ya¬†post¬†hiyo¬†msanii¬†Diamond¬†ambaye¬†ndio¬†mpenzi¬†wake¬†amecomment¬†chini¬†¬†na¬†kuweka¬†viemoj¬†vya¬†moto

Ingawa kwenye post hiyo watu wengi wakiweka comment zao na kudai kuwa amehongwa na Diamond.