Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar (zaa), ni Taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa sheria namba 8 ya mwaka 2011.

Mamlaka ya Viwanja vya Ndege inatangaza nafasi za Kazi kwa vijana wote wa kizanzibar wenye uwezo wa kuzungumza lunga ya KITALIANA na KINGEREZA kwa ufasaaha.