Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa amesema “Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo tunafuatilia malalamiko ya wadau wa Tasnia ya Habari juu ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Ndugu Lusabilo Mwakabibi, kuweka chini ya ulinzi Wanahabari, tunaomba Wanahabari wawe na subira wakati allegations hizi za kusikitisha zinafanyiwa kazi” amesema