Alikiba atoa video ya wimbo mpya karibu kuutazama

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ali Salehe Kiba alimaarufu Alikiba ameachia video ya ngoma yake mpya ya Kadogo, baada ya kuachiwa kwa nyimbo aliyoshirikishwa na msanii mwingine kutoka katika kundi lake la Kings music Cheed ambaye pia amemshirikisha msanii mwingine wa Kings music K-2ga.

Wimbo huu wa ‘Kadogo’ umefanywa na Director Kevin Bosco Jr.