Kocha wa timu ya Coastal Union ya Tanga amesema star wa timu hiyo Alikiba anaweza kujumuishwa kwenye kikosi cha timu hiyo kitakachopambana na Africa Lyon katika uwanja wa uhuru leo Septemba 14, 2018 licha ya kutokuwepo kwenye mazoezi ya mwisho ya kuelekea mchezo huo.