Aliyejinadi kutaka mahari ya Tsh. Milioni 500 Diva, atuhumiwa kuchepuka na Mo Jay wa Gigy Money

Mtangazaji wa Ala za Roho ya Clouds FM, Diva amekanusha vikali taarifa ambazo zilikuwa zinasambaa mitandaoni kwamba anatoka kimapenzi na mtangazaji mwenzake, Mo Jay ambaye kwa sasa ni mpenzi wa muimbaji Gigy Gigy.

Mwanaume huyo amefanikiwa kuzaa mtoto mmoja na muimbaji Gigy Money.

Diva amedai hapendi kuzushiwa taarifa ambazo hazina ukweli juu yake huku akidai hajatoka kimapenzi na wanaume wengi kwenye tasnia ya muziki kama watu wanavyodai.

Naomba kwa heshima na taadhima nitoe tamko… Leo Ngoja nijibu..sababu nimejisikia afu pia mechefukwa tu yan na baadhi ya vitu na watu . . oky ni hivi Apa juzi kati niliona sana Picha Zangu na @moj360 kwamba tuna mahusiano. Nilipata simu nyingi za waandishi na nahisi niliwajibu sana short n clear sababu pia sikutaka mahojiano na mtu yan…… Yan mechoka kujielezea nilikuwa yan naona fresh whatever…. Truth is sijawahi kuwa na mahusiano na @moj360 yan ata kutongozana hatujawahi tunaheshimiana sana. Ni vile mliona mtu anaefanana nae tukiwa katika video ya Pamoja. Thought i said this once n im saying this again. Sina plan ya kumpost mtu apa uso ata niwe nae vipi. I prefer privacy siku hizi mekuwa. Kwanza medate watu wachache sana in the undustry kiukweli kweli Some zilikuwa stunts si zaid. kwanza nshakuwa mfanyabiashara nawaza hela zaid…and how to protect my brand na kutoka katika midomo ya watu kwa njia mbaya. Negativity stak.. Damn it work so hard to be here aisee. Living to the fullest livin ma life like happy n shit. Hard work y’all kno.. So ndugu jamaa na marafiki na mashabiki poleni kwa usumbufu. Xoxo Lovely Diva #temporarypost