Aliyekuwa mke wa Riginald Mengi afariki dunia 

Inaelezwa kuwa Marehemu Mercy Mengi alikuwa nchini Afrika Kusini kwa zaidi ya wiki mbili akipatiwa matibabu, lakini mpaka sasa bado haijawekwa wazi ugonjwa uliosababisha kifo chake.