Kocha wa Taifa Stars Emanuel Amunike ameanika kikosi chake, ni kikosi cha kufuzu au kufeli , ni kikosi cha kuzima ndoto za Watanzania au cha kuing’arisha Tanzania.

Kikosi kamili cha Taifa Stars; Makipa; Aishi Manula (Simba SC), Aaron Kalambo (Tanzania Prisons) na Metacha Mnata (Mbao FC).


Mabeki; Suleiman Salula (Malindi SC), Hassan Kessy (Nkana FC – Zambia), Gardiel Michael (Yanga SC), Kelvin Yondan (Yanga SC), Vincent Philipo (Mbao FC), Ally Mtoni ‘Sonso’ (Lipuli FC), Andrew Vincent ‘Dante’ (Yanga SC), Kennedy Wilson (Singida United) na Aggrey Morris (Azam FC). 


Viungo; Feisal Salum (Yanga SC), Jonas Mkude (Simba SC), Himid Mao (Petrojet FC – Misri), Mudathir Yahya (Azam FC), Shiza Kichuya (ENPPI – Misri), Simon Msuva (Difaa El Jadida – Morocco) na Farid Mussa (Tenerife B).
Washambuliaji; Yahya Zayd (Ismailia – Misri), Shaaban Iddi Chilunda (CD Izara – Hispania), Rashid Mandawa (BDF XI – Botswana), Thomas Ulimwengu (JS Saoura – Algeria), John Bocco (Simba SC) na Mbwana Samatta (KRC Genk – Ubelgiji).

Tunaitakia heri Taifa Stars.