Angalia Picha:kaburi la aina yake la miaka 4,400 lililogunduliwa Misri

Journalists enter a newly-discovered tomb at the Saqqara necropolis, 30 kilometres south of the Egyptian capital Cairo
Image captionJournalists were allowed into the newly-discovered tomb, which experts have called “exceptionally well-preserved”

Wana akiolojia wamefanya ugunduzi usio wa kawaida – kaburi la kasisi mmoja ambayo halijapatikana kwa miaka 4,400.

Mostafa Waziri, katibu kwenye baraza linalohusika na maeneo ya kale alitaja ugunduzi huo kama wa aina yake kwa miaka mingi iliyopita.

Kaburi hilo ambalo liligunduliwa eneo linalojulikana kama Saqqara pyramid complex mjini Cairo lina sanamu za Firauni.

Wana akiolojia wataanza kulichimba kaburi hilo leo na wanatarajia kufanya ugunduzi zaidi baadaye ukiwemo mwili wa aliyezikwa humo.

Haya ni yale tayari wamegundua….

Coloured statues and hieroglyphs inside the tomb at Saqqara
Image captionKaburi la aina yake la miaka 4,400 lagunduliwa Misri
A view of the tomb's exterior, showing its entrance set into rising walls of stone
Image captionKaburi la aina yake la miaka 4,400 lagunduliwa Misri
A wall covered in engraved hieroglyphs, including people, weighing scales, birds and what appears to be food
Image captionKaburi la aina yake la miaka 4,400 lagunduliwa Misri
Four statues of people carved into the wall of the tomb
Image captionKaburi la aina yake la miaka 4,400 lagunduliwa Misri
Mustafa Abdo, chief of excavation, stands inside the newly-discovered tomb of Wahtye
Image captionKaburi la aina yake la miaka 4,400 lagunduliwa Misri
Coloured statues in alcoves inside the tomb
Image captionKaburi la aina yake la miaka 4,400 lagunduliwa Misri
A man takes photos of the well-preserved hieroglyphs inside the newly-discovered tomb of Wahtye
Image captionKaburi la aina yake la miaka 4,400 lagunduliwa Misri
A statue is seen inside the newly-discovered tomb of Wahtye, which dates from the rule of King Neferirkare Kakai
Image captionKaburi la aina yake la miaka 4,400 lagunduliwa Misri
A view of coloured scenes depicting the owner of the tomb and his family
Image captionKaburi la aina yake la miaka 4,400 lagunduliwa Misri
An Egyptian archaeological worker stands inside the newly-discovered tomb of "Wahtye", which dates from the rule of King Neferirkare Kakai, at the Saqqara area near its necropolis, in Giza, Egypt, December 15, 2018.
Image captionKaburi la aina yake la miaka 4,400 lagunduliwa Misri

Chanzo BBC Swahili.