“Asilimia 70 na huu Mkoa ni wambea na wanapenda Umbea kuliko chochote kile Usikubali wakuchinganishe na RC wako Endelea kuwa focused na Utumishi, Mheshimiwa Rais amewaamini na anaamini mtamsaidia katika utumishi wake hasa katika kuwatumikia wanyonge wa mji huu wa Dar es salaam.” – Makonda