Msanii wa filamu nchini Tanzania (Bongo) movie Aunty Ezekiel amejifungua mtoto wa kiume, kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instargram amepost video na kutoa neno la shuk.

Aunty Ezekiel huyu mtoto wake wa pili ambaye wa kwanza ni wa kike na amezaa na dansa wa msanii Daimond Platinum, Mose Iyobo huku huyu wa pili ni wa kiume nababa wa mtoto bado hajajulikana ingawa mashabiki wanashauku kubwa ya kujua baba wa mtoto huyo.