Mwanamitindo kutoka Tanzania  Hamisa Mobetto ambaye kwasasa yuko nchini Marekani katika tua yake amemtangaza Mpenzi wake mpya baada ya kuachana na Diamond Platnumz.

Hamisa kupitia ukurasa wake wa Insta ameposti Picha akiwa na Mwanaume huyo ambaye jina lake halijajulikana mpaka sasa na kuandika “Roho mkalia moyo”.

Hamisa ni Mama wa watoto wawili, Mmoja wakike aliyezaa na Majizo na mwengine wa kiume  aliyezaa na msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz hivi karibuni.