Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia ambaye ametajwa kuhusika na ubadhirifu katika ofisi amerudishwa nyumbani.

Kufiatia hatua hiyo Brigedia Jenerali Clemence Quadrates Kahama, ameteuliwa kukaimu nafasi hiyo hadi uteuzi wa Balozi mwingine katika nchi hiyo utakapofanyika.