Bodi ya Wadhamini ya Chama cha CUF leo imetangaza kutomtambua Prof. Lipumba kama Mwenyekiti. Wasema watamfungulia mashtaka.

Bodi hiyo imesema itazirudisha mali zote za CUF alizozihodhi Lipumba ikiwa ni pamoja na ofisi kuu ya CUF Buguruni.